Nyingine

ZITTO KABWE: NITAUNGANA NA UPINZANI 2020 KUMSIMAMISHA MGOMBEA WA URAIS

Kiongozi mkuu wa chama cha ACT wazalendokatika mahojiano maalum amesema mwaka 2020 kuwa hajapiga hesabu zakugombea urais amesema atakaa na vyama vya upinzani na kumsimamisha mgombea mmoja, mgombea huyo anaweza akatoka chama chochote kati ya Chadema, CUF,NCCR Mageuzi au ACT.

Alipoulizwa kama anaukubali UKAWA kama muungano thabiti amesema wataunda umoja mwingine kwa sababu ule ulikuwa ni kwa ajili ya mambo ya katiba.

SOMA NA HII:  80% watashindwa mchezo huu: ni Glass gani itajazwa kwanza?

Zinazohusiana

JIUNGE NA MAZUNGUMZO, TOA MAONI YAKO HAPA

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Lako