Zigo Remix yafikisha 450k views ndani ya siku 4!

Comment

AY ameufungua mwaka 2016 kwa kishindo kupitia video ya remix ya wimbo wake Zigo aliomshirikisha Diamond. Hizo ni views nyingi zaidi AY amewahi kuzipata Youtube katika video zake.

Tangu imetoka video hiyo imepata mapokezi makubwa na tayari wachambuzi wa muziki Afrika Mashariki wanautabiria wimbo huo kuwa hit ya mwaka 2016 Afrika nzima.

Up Next

Related Posts

Discussion about this post

error: Content is protected !!