Nyingine

Yusuph Mlela amtolea matusi Ney wa mitego kisa Bongo movies

Msanii wa filamu nchini Yusuph Mlela amemtukana msanii wa bongofleva Nay wa Mitego kwa kile anachodai kuwa msanii huyo anapotosha jamii juu ya maandamano waliofanya baadhi ya wasanii wa filamu nchini.

Rapper Nay wa Mitego alisikika akisema kuwa baadhi ya wasanii wa filamu ambao waliandamana ni matahira kwani kitendo cha wao kutaka filamu za nje zizuiliwe hakina tija na mantiki yoyote.

Kutokana na jambo hilo, Mlela aliamua kushusha matusi kwa msanii Nay wa Mitego na kuomba mpambano wa Round 3 za boxing kwenye stage na Nay wazichape.

@naytrueboy wewe jamaa si ulikuwa chocolaa wewe Leo umeyapatia kidogo unasahau kwamba nyuma yako kuna kundi la vijana wanatamani kuwa waigizaji\wanamziki wakubwa….acha kupotosha jamii yetu Kwa sababu zako binafsi… SISi wasanii ATUJAKATAZA MOVIE ZA NJE .. TUNATAKA WANAOZISAMBAZA WAFATE TARATIBU ZA KISHERIA ILI UWIANO WA BIASHARA UWEPO ndio lengo LA maandamano.. so acha kutafuta sifa… nakushangaa kuwa na ufikilivu mdogo kama wewe sio Msanii…tunajua matatizo ya filamu zetu na tunafanyia kazi malekebisho..halaf huwezi kufananisha filamu na mziki…..Kwa sababu unajifanya chizi mbabe.. Wewe si mtoto wa manzese unajifanya unajua kupiga ngumi nataka Round 3 tu za boxing kwenye stage ili Tanzania ijue nani tahiraa nikutie adabu….. This is serious coz we mtoto mdogo tu kwangu dole la kati linakuhusu, kuongea sana tabia za kike wewe si hip hop na unajiamini njoo uwanjani chagua popote pale…..THiS is serious ?@naytrueboy nb:nyie mbuzi mnaosema natafuta kiki Mimi sina nia hiyo kwanza sipendi kuongelewa…kikubwa sipendi dharau coz kila MTU ana haki ya kutetea kazi yake …. Sitaki kupendwa kinafki…pia hamnishangazi eti kutonunua movie zetu coz tunajua bongo movie INA wenyewe sio wewe unayesubiri uikute ishanunuliwa uangalie halafu uponde..hamtuumizi vichwa.

SOMA NA HII:  Idara ya Habari (MAELEZO) Yapokea Msaada wa Vifaa Kutoka Ubalozi wa China

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako