YouTube imesema hizi ndio video 10 bora za mwaka 2017. Huenda Hujaiona Video ya 9


Umefika wakati ambapo majukwaa kama YouTube na Google hutoa orodha ya mambo yaliyo trend ndani ya mwaka mzima.

Wakati huu, YouTube imetoa orodha ya video 10 bora zilizovuma zaidi pamoja na video 10 bora za muziki ambazo zilifuatiliwa zaidi kwenye intaneti ndani ya mwaka 2017. Orodha ya video za muziki haijanishangaa kwa sababu nimeziona video zote 10, lakini kuna baadhi ya video sijawahi kuziona na zipo kwenye orodha ya video 10 zilizovuma zaidi. Kwa mfano video hii hapa chini.

Imeangaliwa zaidi ya mara milioni 32.

Unaweza kuangalia orodha kamili ya video bora zilizo trend mwaka 2017

 1. Until We Will Become Dust – Oyster Masked (ตราบธุลีดิน – หน้ากากหอยนางรม) | THE MASK SINGER 2
 2. ED SHEERAN – Shape Of You | Kyle Hanagami Choreography
 3. Ping Pong Trick Shots 3 | Dude Perfect
 4. Darci Lynne: 12-Year-Old Singing Ventriloquist Gets Golden Buzzer – America’s Got Talent 2017
 5. Ed Sheeran Carpool Karaoke
 6. Lady Gaga’s FULL Pepsi Zero Sugar Super Bowl LI Halftime Show | NFL
 7. “INAUGURATION DAY” — A Bad Lip Reading of Donald Trump’s Inauguration
 8. History of the entire world, I guess
 9. In a Heartbeat – Animated Short Film
 10. Children interrupt BBC News interview – BBC News
SOMA NA HII:  Vita ya Facebook na Marekani, Mambo 6 Yanayotarajiwa

…. Na top 10 ya video za muziki kwa mwaka 2017.

 1. Luis Fonsi – Despacito ft. Daddy Yankee
 2. Ed Sheeran – Shape of You [Official Video]
 3. J Balvin, Willy William – Mi Gente (Official Video)
 4. Maluma – Felices Los 4 (Official Video)
 5. Bruno Mars – That’s What I Like [Official Video]
 6. Chris Jeday – Ahora Dice (Official Video) ft. J. Balvin, Ozuna, Arcángel
 7. El Amante – Nicky Jam (Video Oficial) (Álbum Fénix)
 8. Jason Derulo – Swalla (feat. Nicki Minaj & Ty Dolla $ign) (Official Music Video)
 9. DJ Khaled – I’m the One ft. Justin Bieber, Quavo, Chance the Rapper, Lil Wayne
 10. Enrique Iglesias – SUBEME LA RADIO (Official Video) ft. Descemer Bueno, Zion & Lennox

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA