Sambaza:

Linapokuja swala la video, YouTube ni bet yako bora, asante kwa idadi ya video zinazopakiwa kila siku. Wiki iliyopita, kampuni hiyo iliongeza kipengele kipya, kipengele kinanikumbusha jukwaa jingine la video – jukwaa ambalo siwezi kulitaja jina.

YouTube rasmi imetengeneza YouTube GIF zinapatikana kwa watumiaji wa Kompyuta, kipengele hiki kitacheza GIF ya sekunde 3 unapoweka “pointer” kwenye “thumbnail” ya video ya YouTube.

Lengo hapa ni wewe kupata wazo la nini utakutana nacho kwenye video. Lakini kuhakikisha kwa sekunde 3 kunatosha kufikia lengo hilo?

Kwa sasa, Google AI huamua uhakikisho (preview) ambao utaonyeshwa, sio mtengenezaji  wa maudhui, hili ni jambo zuri.

Kwa hivyo, swali kwako ni je maboresho mapya yana umuhimu na umejaribu kwenye kivinjari chako cha kompyuta?


Sambaza:
SOMA NA HII:  Ushauri wa Obama kuhusu matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii

Written by Mediahuru

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili.

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako