WOW! Angalia Jinsi Jamaa alivyo Propose Kwa Girlfriend wake wakiwa Kanisani (Picha)

Comment

Walikutana kwenye sherehe miezi kadhaa iliyopita na jamaa akafanikiwa kuongea na mwanamke huyu ingawa alikuwa amekaa na boyfriend wake. Boyfriend wake huyo wa zamani aliamua kumwacha huyu mwanadada kwa sababu aliwaona wakati jamaa anaongea nae.Leo story imebadilika na kuwa nzuri zaidi kwake baada ya jamaa huyo mpya kuamua kuproposed, ndani ya kanisa,na mwanadada amejibu NDIYO.

Mfate msichana unayempenda leo.

Up Next

Related Posts

Discussion about this post