Nyingine

Wizkid atoa sababu kwa nini Drake hayupo kwenye video ya “Come Closer”

Boss wa StarBoy Worldwide, Wizkid ametoa video ya wimbo wake mpya, Come Closer akiwa amemshirikisha mkali wa rap kutoka nchini Canada, Drake.

Hii sio collabo yao ya kwanza , mashabiki duniani kote wamemjia juu mwimbaji wa Hotline Bling kwa kutoonekana kwenye video na wengi wameanza kuamini uvumi wa kuwa Drake na Wizkid wamegombana.

Wizkid ameamua kuzungumzia uvumi huo na kutoa sababu iliyopelekea Drake kutokuwepo kwenye video.

Kupitia ukurasa wake wa twitter, Wizkid amesema:

Had a family emergency during one dance shoot and Drake was on tour when we did closer. No bad blood..One Love still.

Angalia tweet hapa chini;

SOMA NA HII:  Marufuku Matumizi ya Takwimu za Kampuni ya Geopoll - Dkt. Mwakyembe

Zinazohusiana

Toa Maoni Hapa:

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako