Nyingine

Wizara ya Habari yakanusha habari ya gazeti la MwanaHalisi kuhusu Mwakyembe

Taarifa ya wizara ya habari kupitia TBC imekanusha Mwakyembe kufanya mahojiano na Mwandishi wa gazeti la MwanaHalisi.

Taarifa iliyoandikwa na gazeti hilo ilikuwa na kichwa cha habari kinachosema: “Mwakyembe: Maisha yangu yapo hatarini” wizara imesisitiza kuwa inaangalia hatua za kuchukua.

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Check Also

Close