Sambaza:

Najua humu ndani kuna wapenzi wengi wa muziki, Sote tunapenda muziki katika ofisi yetu ya Mediahuru.

Tuna swali kwajili yako – Wimbo gani wa kitanzania unaweza kuuimba mwanzo mpaka mwisho bila kukosea ?

Tuambie . Tunapenda kujua.

Mimi (Benix Matrix) – Nako2Nako – Hawatuwezi

Na wewe je?

Toa maoni yako.


Sambaza:
SOMA NA HII:  Unatumia "Lock ? " ya aina gani kwenye simu yako?

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako