Sambaza:

Habari za leo mdau, Natumaini siku yako inaenda sawa kama ulivyopanga ?

Hapo juu ni list inayohusisha baadhi ya wasanii wa Tanzania ambao wanabamba sana kwenye game ya bongo fleva kwa sasa– Haijalishi una mshabikia nani , ila wote wameshatoa wimbo ambao kwa kiasi flani unaupenda. Ni kweli ?

Sasa, Kama ungekuwa Mwanamuziki na unataka kumshirikisha mmoja kati yao kwenye wimbo wako, Utamshirikisha nani ?

Twende sawa toa maoni yako + Na sababu ya chaguzi uliyofanya.

=============================================================================

KWA UPANDE WANGU:- Mimi ningemchagua Ben Pol kwa sababu ana uwezo mkubwa wa kuimba pia ana uwezo wa kupita katika mitindo tofauti tofauti ya muziki.

Vipi kuhusu wewe?

Toa maoni yako.


Sambaza:
SOMA NA HII:  Jinsi ya Kuepuka Makosa 5 Yanayofanywa na Wamiliki wa Website

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako