Nyingine

Wema Sepetu akava jarida la Kenya ‘True Love Magazine East Africa’

Mkali wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu amekava jarida la True Love Magazine East Africa la nchini Kenya.

Kwa sasa jarida hilo litatoka na kuingia mtaani katika msimu huu wa pasaka. Kupitia Instagram, True Love Magazine East Africa, wameshare cover lake.

Katika jarida hilo Wema amezungumzia hela, wanaume pamoja na maisha yake kwa ujumla.

SOMA NA HII:  Unatumia "Lock ? " ya aina gani kwenye simu yako?

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako