Wasanii 10 wa Afrika matajiri zaidi

Hivi karibuni jarida la Forbes lilitoa orodha ya wasanii 10 wa Afrika matajiri zaidi. Orodha hiyo iliwekwa kwa kuangalia vigezo kama vile ‘endorsement’, umaarufu wa msanii, idadi ya matamasha ya muziki anayotumbuiza, mauzo yake, tuzo alizotwaa, idadi ya watu wanaotazama video zake YouTube.

Lakini pia vigezo vingine ni uonekanaji wake katika vyombo vya habari, uwekezaji alioufanya nje na ndani ya muziki, uwepo wake katika mitandao ya kijamii, ushawishi wake katika jamii.

Kwa kupitia sababu zote hizo, pamoja na vyanzo mbalimbali vya burudani barani Afrika, hapa chini ni orodha ya wasanii 10 wa Afrika wenye utajiri mkubwa zaidi.

Leave a Reply