Sambaza:

List ya wafungaji bora wa muda wote wa Ligi ya Mabingwa (Champions League) imehusisha wachezaji bora kwenye mchezo wa soka.

Hapa chini nimekuwekea wafungaji bora wa muda wote kwenye Champions League (tangu kuanzishwa kwake 1992-93):

98 — Cristiano Ronaldo
94 — Lionel Messi
71 — Raul
60 — Ruud van Nistelrooy
59 — Andrei Shevchenko
51 — Thierry Henry
51 — Karim Benzema
50 — Filippo Inzaghi
49 — Zlatan Ibrahimovic
44 — Didier Drogba


Sambaza:
SOMA NA HII:  Unatumia "Lock ? " ya aina gani kwenye simu yako?

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako