Home Nyingine [Kumbukumbu] Daima Tutawakumbuka Vivian na Complex

[Kumbukumbu] Daima Tutawakumbuka Vivian na Complex

0
1
complex

 

Ilikuwa ni siku ya Jumapili ya tarehe 21 August mwaka 2005 majira ya saa tatu asubuhi siku ambayo nyota wawili wa muziki nchini waliokuwa wakipendwa sana, producer na rapper Saimon Sayi aka Complex ambaye kipindi hicho alikuwa akifanya kazi na studio ya Aigies Records na mtangazaji wa Clouds FM na rapper Vivian Tillya walifariki kwa ajali ya gari eneo la Mbwewe.

vivian tillya

 

Wasanii hao ambao walikuwa wapenzi walikuwa safarini kutoka Morogoro kwenye Fiesta iliyokuwa imepewa jina la ‘Moto Zaidi’ ambapo walikuwa wanaelekea jijini Arusha kwenye Anniversary ya ndoa ya miaka 25 ya ndoa ya wazazi wake na Vivian.

Siku hiyo pia Vivian alikuwa anaenda kumtabulisha Complex kama mchumba wake kwa wazazi wake lakini mauti ikawakatisha.

Daima Tutawakumbuka

Comment(1)

LEAVE YOUR COMMENT

Your email address will not be published. Required fields are marked *