Nyingine

Video Tatu Za Watoto Mapacha Wenye Umri Wa Miaka 11 Wakionyesha Uwezo Wa Ku-DJ

 Amira na Kayla ni mapacha wenye umri wa miaka 11 ambao kwa umri mdogo walionao wameonyesha uwezo mkubwa wa Ku DJ.

Baba wa watoto hao mapacha ambaye ni Producer alianza kuwafundisha masuala ya Ku-dj tangu wakiwa na umri mdogo zaidi.

Walianza ku-dj kwenye sherehe za shule lakini umaarufu wao umeongezeka zaidi ndani ya muda mfupi wamefanikiwa kushiriki kwenye show kubwa kama The Real Talk Show, New York Knicks, Jay Z’s 40/40 Club, BET, Kids Rock! at New York Fashion Week, The Apollo Theatre, Summer Stage na Universoul Circus.

1. Hapa wakionyesha uwezo wao wa Ku DJ wimbo wa Notorious B.I.G.

 

2.Amira & Kayla wakifanya mazoezi kwa kucheza wimbo wa Mary J Blige akimshirikisha Kanye “Love Yourself”

 

3. Mix fupi ya dakika moja

SOMA NA HII:  Je una bashiri "kubeti" ili kujikwamua na matatizo ya kimaisha ?

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako