Nyingine

VIDEO: Samatta nje ya soka anakitangaza Kiswahili, angalia alichomfundisha Jean Boetius

Samatta akishangilia goli na Jean Boetius alilofunga katika game dhidi ya Celta Vigo.

Mbwana Samatta ambaye kwa sasa anaichezea KRC Genk ya Ubelgiji, ameonekana kuwa na tabia ya kupenda kushea vitu vya kitanzania na wachezaji wenzake wa KRC Genk.

Ikiwa ni siku moja imepita toka wacheze game yao ya robo fainali ya Europa League dhidi ya Celta Vigo na kupoteza kwa magoli 3-2 ,leo kupitia ukurasa wake wa instagram Samatta amempost mchezaji mwenzake raia wa Uholanzi Jean Boetius akisoma lugha ya Kiswahili.

Inawezekana Samatta anajaribu kumfundisha maneno machache ya lugha ya kiwaswahili Jean Boetius. Samatta ameweka video hiyo na kuandika

Max ngapi anapata uyu mchizi wangu kwa kusoma kiswahili?😂😂 mfollow kuona maendeleo yake ya kujifunza kiswahili, muholanzi na lugha ya nyerere patamu apo@jp9boetius@jp9boetius

SOMA NA HII:  Kwa nini Mwanamke Anaweza Kuweka Picha Zake Za Uchi Kwenye Simu Yake? - Uzoefu Binafsi

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.