[Video] R.Kelly kaurudia wimbo wa ‘If’ wa Davido

Robert Kelly (50 yrs) akiwa ni Mkongwe kwenye muziki duniani, ameufanya mwaka 2017 kuwa wa kumbukumbu zaidi kwa Davido na Afrika yenyewe baada ya kuurudia wimbo wa Davido uitwao ‘IF‘.

Kupitia mtandao wa Instagram, Davido ameonyesha kufurahishwa na kitendo cha R. Kelly kurudia ngoma yake kwa kuandika ‘baki na utamaduni wako, watakuja’.

 


Ngoma hii inazidi kujizolea umaarufu nchini Marekani kwani hata Omarion pia alishajirekodi video akiimba ‘IF’.

Leave a Reply