Nyingine

VIDEO: Mimi ni Strong Woman-Harmorapa

Rapper Harmorapa jana aliwaacha mdomo wazi baadhi ya mashabiki wake baada ya kutoa jibu tofauti kuhusu jinsia yake.

Akichat na mashabiki katika mtandao wa facebook wa EATV ndani ya kipindi cha Kikaangoni, rapa huyo aliulizwa swali kuhusu jinsi yake “Wewe ni mwanaume wa aina gani?’ na rapa huyo kujibu

“Mimi ni strong woman”.

Akiongea kuhusu uwezo wake wa kuongea na kuandika lugha ya kingereza alisema:

“Lugha ya Kiingereza naifahamu vizuri lakini ile kuongea ongea ndiyo siwezi”

SOMA NA HII:  Swali la Siku: - Kati ya Vitu Hivi 3, Ni Kitu Gani Ni Ngumu Kwako Kuishi Bila Kukifanya?

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako