Video: Machinga wapinga agizo la Makonda kuzuia uuzwaji wa Filamu za nje ya nchi

Comment

Baada ya mkuu wa mkoa wa Dar kuzuia biashara ya Kuuza filamu/movies zá nje ya nchi kwa kuamini ni njia sahihi itakayosaidia waigizaji wa filamu za nyumbani maarufu kama bongo movie kuuza zao. Machinga jijini Dar es salaam wapinga agizo hilo la mkuu wa mkoa na kueleza masikitiko yao.

Je kwa mtazama wako ni sahihi kufungia uuzaji wa filamu za nje ? Ama njia mbadala zitafutwe kuboresha filamu zetu na soko lake?

Toa maoni yako

Up Next

Related Posts

Discussion about this post

error: Content is protected !!