[Video] Kassim Mganga ft. Nyota & Kilimanjaro Band (Njenje) – SOMO

Tajiri wa mahaba Kassim Mganga ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Somo’ akiwa amemshirikisha Nyota pamoja Kilimanjaro Band (Njenje)....

1 0
1 0

Tajiri wa mahaba Kassim Mganga ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Somo’ akiwa amemshirikisha Nyota pamoja Kilimanjaro Band (Njenje). Video imeandaliwa na Joh Film.

In this article

Join the Conversation