Video: John Legend ashangaza mashabiki wa London kwa kufanya show kwenye kituo cha treni


Jana asubuhi, John Legend aliamua kuwashangaza mashabiki wake kwa kufanya show kwenye kituo cha treni-London St. Pancras Station

Mshindi huyo wa Grammy alivutia wengi baada ya ku-tweet kuwa atawasili katika kituo cha treni na kuuliza kama bado wana piano.


Baada ya kuwasili kituoni, mwimbaji huyo alifanya show ya dakika 10 na kuimba baadhi ya nyimbo zake maarufu kama “Ordinary People” na “All of Me”.

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA