Nyingine

Video: Eric Omondi kaigiza sehemu ya movie ya ‘Adam na Eva’

Mchekeshaji maarufu kutoka nchini Kenya, Eric Omondi amekuwa na utaratibu wa kuzirudia na kuziigiza movie na nyimbo za mastaa mbalimbali. Baada ya kuachia filamu yake fupi aliyoigiza kutoka kwenye ‘God Must Be Crazy’ sasa amekuja na filamu ya ‘Adam na Eva’ yenye urefu wa dakika 15 na sekunde 10.

Soma na hizi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Close