Nyingine

[Video] District 9ine – Feedback

Bhits Music Group wanaileta kwenu video ya ngoma mpya ya kundi la District 9ine, Feedback. Wimbo umetayarishwa na Pancho Latino na Hermy B na video imeongozwa na Bang Films.

SOMA NA HII:  80% watashindwa mchezo huu: ni Glass gani itajazwa kwanza?

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.