[Video] Davido – If

Msanii Davido kutoka Nigeria ameachia video mpya chini ya Sony  wimbo unaitwa “If”. Video imeongozwa na Director Q jijini London , wimbo umetengenezwa na Tekno.

Leave a Reply