Nyingine

[Video] Chege & Temba ft Emmy Wimbo – Go Down

Kutoka TMK Wanaume Family, Chege na Temba baada ya ukimya wa muda mrefu wamerudi upya kwenye game na video ya wimbo wao mpya, Go Down wakiwa amemshirikisha Emmy Wimbo. Video imeondozwa na director Msafiri kutoka Kwetu Studio.

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *