Nyingine

[Video] Barakah The Prince – Acha Niende

Muimbaji mwenye sauti ya pekee kutoka ndani ya label ROCKSTAR4000, ameachia video ya wimbo wake mpya Acha Niende. Audio ya wimbo huu imeandaliwa na producer Maneck kutoka AM Records na video imeongozwa na kampuni ya Head Master Production.

Soma na hizi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Close