Nyingine

[Video] Alichozungumza Godbless Lema baada ya kuachiwa kwa dhamana

Hatimaye  mbunge  wa  jimbo  la  Arusha  Mh  Godbless  Lema  aliyekuwa  mahabusu kwa  takribani miezi minne sasa  baada  ya  kukamatwa  na  kushtakiwa  kwa  kosa la  uchochezi katika  mahakama  ya hakimu  mkazi  mkoa   wa  Arusha   amechiliwa  kwa  dhamana.
 Dhamana  ya  Mh  Lema   ambaye  amedhamiwa  na  wadhamini  wawili  wanaotambulika waliosani bondi  ya  milioni  moja  imetolewa  na jaji  wa  mahakama  kuu   Mh  Salma  Magimbi  mbele  ya  mawakili   wa  pande  zote ,  upande  wa serikali  uliongozwa  na Paul Kadushi  na  upande  wa  utetezi  ukiongozwa  na  Peter  Kibatala .
Baada ya kuachiwa kwa dhamana Mbunge huyo wa Arusha alizungumza haya:

Soma na hizi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Close