Nyingine

Uwanja Shanghai Shenhua ulivyowaka moto leo hii (Video+ Picha)

Uwanja unaotumiwa na klabu ya soka tajiri katika ligi kuu ya China, Shanghai Shenhua ambao anachezea Carlos Tevez umeshika moto Jumanne hii.

Hata hivyo moto huo ulifanikiwa kuzimwa mapema japo chanzo cha moto huo hakijafahamika zaidi.

SOMA NA HII:  Teknolojia 5 Maarufu kwenye Magari Kwa Sasa

Zinazohusiana

TOA MAONI

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako