Nyingine

Utata wa point 3 za Simba, Malinzi amekanusha taarifa

Taarifa zinazodaiwa kutoka kwa Rais wa TFF Jamal Malinzi kuwa ametengua maamuzi ya kamati ya saa 72 kuipa Simba point tatu dhidi ya Kagera Sugar katika kikao chao cha juzi April 13 zimesambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii , Rais wa TFF Jamal Malinzi amekanusha taarifa hizo.

Malinzi amekanusha taarifa feki zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu maamuzi ya kamati ya saa 72 ya kupewa point tatu kwa Simba, kupitia ukurasa wake wa twitter ameandika ujumbe huu:

“Taarifa zinasombaa kwenye mitandao kuwa nimetengua maamuzi ya kamati ya uendeshaji wa ligi si za kweli.TFF ina taratibu zake za kutoa maamuzi”

SOMA NA HII:  Jinsi ya Kuepuka Makosa 5 Yanayofanywa na Wamiliki wa Website

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.