Tanzania

UTANI WA JPM MTIHANI KWA WATEULIWA TLS

NA BALINAGWE MWAMBUNGU

Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), ambao wana matumaini ya kuteuliwa na kushika nafasi za juu katika Mahakama na vyeo vingine katika taasisi za kimahakama, bora wajitoe katika chama hicho. Aidha, imeelezwa kwamba makada na wakereketwa wa vyama vya siasa, wasitegemee kuteuliwa na mamlaka teuzi (ya sasa) kuwa majaji.

Ndivyo baadhi yetu tulivyolipokea tamko la Rais John Magufuli, alipokuwa anazungumza na wanasheria wakati wa Siku ya Sheria iliyofanyika Dar es Salaa mapema mwezi huu.

SOMA NA HII:  TAARIFA YA MKUTANO JUU YA MAPENDEKEZO YA VIWANGO VYA GHARAMA ZA MAINGILIANO YA MITANDAO YA SIMU NCHINI.

Zinazohusiana

Toa Maoni Hapa:

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako