Sambaza:

Vifaa vingi sasa vinaweza kutumia akaunti nyingi za mtandaoni. Hii inamaanisha unadhibiti akaunti unayotaka kutumia, na wakati unayoitumia.

Unaweza kugeuza kati ya Akaunti zako za Google kwa urahisi na haraka, kote kwenye kompyuta ya mezani na kwenye simu ya mkononi.

Kwa mfano, unaweza kuongeza Akaunti ya Google ya pili unapokuwa umeingia kwenye akaunti yako kuu na ubadilishe kutoka moja kwenda nyingine kati yao.

SOMA NA HII:  Nahitaji Antivirus, Je Wewe Unatumia Antivirus Gani Kwenye Kompyuta Yako?

Na kwenye kompyuta ndogo mpya za Google zenye hali za watumiaji wengi kama Nexus 7, ni rahisi kwa akaunti nyingi kuhusishwa na kifaa kimoja.

Hii inawarahisishia watu tofauti katika familia yako kuangalia barua pepe zao au kufikia programu zao bila kuhitajika kuingia na kuondoka. Mara unapofungua akaunti ya msingi, unaweza kuongeza akaunti kwa urahisi katika mipangilio ya kifaa chako.


Sambaza:

Written by Mediahuru

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili.

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako