Nyingine

Unaweza kubadilisha Dini yako sababu ya Mapenzi?

Karibu kwenye Jukwaa Mwanamediahuru, Hili ni swali la leo!!!!

Jamani ! Unaweza kubadilisha Dini yako sababu ya Mapenzi?

MUHIMU:- Naomba uwe mkweli na toa sababu zinazoeleweka kama unaweza kubadili ama huwezi! Sote tupo hapa kwajili ya kujifunza.

Toa Maoni yako!

Soma na hizi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Close