Elimu

Unakumbuka “School motto” ya shule uliyosoma na imekusaidiaje maishani mwako?


Habari za leo wadau? Leo naomba kuuliza hivi wangapi tunakumbuka “school motto” za shule tulizosoma na kwa namna gani tumezitumia ama zimetusaidia maishani miaka kadhaa baada ya kutoka shule?

Andika jina la shule uliyosoma na school motto ya shule hiyo.

Tuambie kwa upande wako imekusaidiaje.

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *