Je, Umewahi Kununua Simu Mtandaoni Ikaja Kwa Njia ya Posta na Ukaipata?


Kununua simu mtandaoni kutoka nje ya nchi, ni jambo ambalo limekuwa likiwachanganya watu wengi licha ya kuwepo makala nyingi zinazoelezea njia rahisi ya kununua bidhaa mtandaoni.

kununua

Je, kwa upande wako umewahi kununua simu au bidhaa yoyote mtandaoni kupitia huduma kama ebay, amazon, aliexpress na nk, kisha ukatumiwa mzigo wako kwa njia ya posta na ukaupokea salama bila kuibiwa?

Kama umewahi kununua simu mtandaoni na ukatumiwa kwa njia ya posta tueleze kupitia sehemu ya maoni kwa faida ya wasomaji wetu na watu wengine ambao bado hawauamini mfumo huu.

Vipi kuhusu kodi na malipo mengine? Je kuna usalama wa kuaminika?

Toa maoni yako ili kuwatoa hofu wadau wengine.

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA