Umewahi Kucheza Mchezo Huu Wakati Unakua?

Leo nimekumbuka enzi za utoto wangu kipindi sijui chochote kuhusu majukumu kuna michezo mingi sana mimi na marafiki zangu tulikua tunacheza, ila mchezo huu nilikua naupenda sana.

Je ni wangapi mmecheza mchezo huu enzi za utoto wenu?

Leave a Reply