Sambaza:

Baada ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe kutoa agizo kwa Jeshi la Polisi  kumuchia huru msanii wa Bongo Fleva Nay wa Mitego na kutaka wimbo wake ‘Wapo’ uchezwe kwenye vyombo mbalimbali.

Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye kupitia ukurasa wake wa twitter ameyaandika haya.

“Matumizi ya nguvu sana hayalipi! Kurekebisha kwa upendo hulipa! Hongera Rais, Hongera Mwakyembe kwa uamuzi wa Busara dhidi ya muziki wa Ney!” – Ney wa Mitego.

Sambaza:

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako