Ujumbe wa Enrique Iglesias baada ya video ya Bailando kufikisha views bilioni 2 Youtube

Wimbo wa Enrique Iglesias, Bailando aliowashirikisha Descemer Bueno na Gente De Zona ulitoka mwaka 2014 sasa umefanikiwa kutazamwa mara bilioni 2 kwenye mtandao wa Youtube.

Wimbo huo , august mwaka 2015, ulipata views zake za kwanza bilioni moja na kuwa wimbo wa kwanza wenye lugha ya Spanish kufikia idadi hiyo ya views.

Kupitia Instagram, muimbaji huyo ameonyesha furaha yake kwa kuandika ujumbe huu:

“Thank you to all my fans! Muchas gracias!!! I love you guys!”

Thank you to all my fans!!! Muchas gracias!!! I love you guys!!!

A post shared by Enrique Iglesias (@enriqueiglesias) on

Leave a Reply