Vitu 12 Vitakavyofanya Uipende Zaidi Simu Yako


Habari rafiki? Kwenye makala hii nimekusogezea bidhaa mbalimbali ambazo zinaweza kuboresha utumiaji wa simu yako ya mkononi na kuongeza furaha zaidi unapotumia simu janja yako.

1 Unamiliki smartphones mbili ? Zichaji kwa wakati mmoja kwa kutumia chaja hii ya dual USB wall charger.

USB Wall Charger

2 Unataka kusikiliza nyimbo zako unazozipenda kwenye smartphone katika gari? Ni rahisi tumia FM transmitter. Unachotakiwa kufanya ni kufungua redio ya gari kwenye mzunguko maalum (specific frequency) ambao unafanana na transmitter. Unaweza kusikia muziki unaoupenda uliohifadhiwa kwenye FM band kupitia transmitter hii.

FM transmitter

3 Shiriki nyimbo zako unazozipenda na marafiki wachache, asante kwa uwepo wa earphone splitter.

Earphones/Headphones Splitter

4 Sio kila plug (sehemu ya kuchajia simu) ina meza chini yake! Tumia mobile charging stand ili kuchaji simu yako bila msaada wowote

Mobile Charging Stand

[irp]

5 Unaangalia filamu/movie nyumbani? Basi Lazy Mobile Holder inaweza kushikilia simu kwa ajili yako wakati wewe umeshika bakuli ya popcorn

Lazy Mobile Holder

6 Usiruhusu smartphone yako iwe mbali na upeo wa macho yako hata wakati unapoendesha gari kwa kutumia car mobile stand.

Car Mobile Stand

7 Unataka kutumia smartphone yako wakati unapokuwa likizo katika milima ya theluji. Unaweza kutumia Bluetooth Touchscreen Gloves.

Bluetooth Touchscreen Gloves

8 Click blur-free, piga picha za ajabu na Flexible Smartphone Tripod. Inafanya kazi na simu janja za aina zote. Kitu kizuri ni kwamba ipo flexible na inaweza kushika sehemu mbalimbali.

Flexible Smartphone Tripod

[irp]

9 Usiruhusu betri ya simu janja yako iishiwe chaji. Power bank hii itafanya simu yako iwe na chaji siku nzima

Samsung Power Bank

10 Pata uzoefu wa virtual reality kwa kutumia VR headset. Ingiza simu yako kwenye hii VR headset na ufurahie kucheza games na kuangalia sinema kwa kiwango cha juu

VR Glasses

11 Unahofia kudondosha simu yako? Tumia Ring Phone Holder ikusaidie kushikilia simu yako kwa uimara zaidi

Ring Phone Holder

12 Je, cable yako ya kuchajia simu iko kwenye hali mbaya? Nylon USB Charging Cable inakuwezesha ku-sync simu janja yako na kifaa kingine pia kuichaji simu yako

Nylon USB Charging Cable

[irp]

Je wewe umependa kifaa gani kwenye orodha hii ya vifaa vya kiteknolojia vinavyoweza kuboresha matumizi na thamani ya simu yako? Tuambie ni kifaa gani kinafaa zaidi kutokana na matumizi ya simu yako ya mkononi ?

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA