Nyingine

Ufafanuzi wa TFDA kuhusu usalama wa mafuta ya Alizeti

Baada ya kuripotiwa taarifa kuwa kuna utafiti uliofanywa na kuonesha kuwa mafuta ya alizeti ni hatari kutokana na kusababisha tatizo la Kansa kwa watumiaji.

Leo April 24, 2017 Mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA imetoa ufafanuzi juu ya utafiti huo na kueleza kuwa mafuta hayo ni salama kwa watumiaji lakini iwe ni yale yaliyothibitishwa na Mamlaka hiyo, pia imeeleza kuwa utafiti huo ulifanywa kwenye mbegu na mashudu pekee ambayo yalionesha kuchafuliwa na sumu ya Aflatoxin.

Taarifa kamili hii hapa chini:

SOMA NA HII:  Kuwa mkweli! Jina gani umetumia ku-save namba ya simu ya mama yako?

Zinazohusiana

JIUNGE NA MAZUNGUMZO, TOA MAONI YAKO HAPA

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Lako