Nyingine

Tuzo Za Mchezaji Bora: Kante, Hazard, Sanchez, Ibrahimovic, Lukaku, & Harry Kane – Unafikiri Nani Atakuwa Mshindi?

Siku ya Alhamisi, Chama cha Wachezaji wa Kulipwa (PFA) kimetangaza wachezaji wanaowania tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka.

Kwa sasa tuzo hiyo inashikiriwa na mchezaji wa Leicester City, Riyad Mahrez. Hajaingia kwenye list mwaka huu ila kuna wachezaji wengine wazuri zaidi wenye thamani ya kuchukua nafasi yake.

Hawa ndio wachezaji ambao wanawania tuzo ya (PFA)

Alexis Sanchez (Arsenal)
Eden Hazard (Chelsea)
N’Golo Kante (Chelsea)
Romelu Lukaku (Everton)
Zlatan Ibrahimovic (Man United)
Harry Kane (Tottenham)

Bado kuna mechi nyingi za kucheza, ila kama tuzo zingetolewa leo,

Unafikiri Nani Anastahili Kuchukua Tuzo Hiyo?

Toa maoni yako 😄

SOMA NA HII:  Marufuku Matumizi ya Takwimu za Kampuni ya Geopoll - Dkt. Mwakyembe

Zinazohusiana

Leave a Reply

Your email address will not be published.