“Tutaendelea kuwafungia ili kulinda utamaduni wetu” –Waziri Mwakyembe


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr Harrison Mwakyembe alisimama Bungeni kujibu swali la Mbunge wa viti maalum CCM Catheline Magege aliyehoji sababu za Serikali kufungia nyimbo za wasanii baada ya kuziachia na kushindwa kuzuia tatizo hilo kabla.

Waziri Mwakyembe amesema:

“Kama Serikali hatuna shida na wasanii wetu, lengo letu ni kulinda maadili, kila taifa lina maadili yake na ndio maana hata wakina Rick Ross na  Wizkid wanafungiwa kazi zao, sisi tunalalamika kufungiwa kwa nyimbo mbili? Tutaendelea kuwafungia ili kulinda utamaduni wetu ”

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA