Nyingine

TUNAZIDIWA NA CHANGAMOTO YA IDADI YA WATU?

NA HILAL K SUED,

Siku zote huwa najiuliza kwa nini nchi hushindwa kusimamia au kuendesha bila mushkel zoezi au shughuli yoyote kubwa na muhimu ya kitaifa?

Hapo naacha kwanza kutaja uzorotaji katika utoaji wa huduma za kijamii, ambayo ni mazoezi endelevu, kama vile elimu, maji, afya n.k. – na nimejikita tu katika mazoezi maalum ya muda mfupi mfupi kama vile kuendesha sensa na makazi ya watu, uandikishaji wa wapigakura, na lile lenyewe la upigaji kura, uanzishwaji wa vitambulisho vya uraia, uratibu wa kura za maoni za katiba mpya n.k.

Tags

Soma na hizi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Close