Mawasiliano ya simuTanzania

TTCL kupeleka huduma ya Intaneti kwenye vituo vya TIC

Kampuni ya simu Tanzania (TTCL) imeendelea na juhudi za kupeleka mawasiliano kwenye taasisi za serikali baada ya kusaini mkataba wa kupeleka huduma ya Intaneti katika kituo cha uwekezaji (TIC), Pichani ni Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Waziri Waziri Kindamba na Nd, Geoffrey Idelphonce Mwambe Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania katika hafla ya kusaini mkataba huo wa kupeleka huduma za mawasiliano ya Intaneti.

Baada ya mkataba kusaini Afisa mtendaji mkuu TTCL na Mkurgenzi Mkuu wa TIC walikabidhiana hati za mkataba
Picha ya pamoja baada ya kusani mktaba.
SOMA NA HII:  Je unatumia vifurushi gani vya Intaneti kwenye simu yako ya mkononi ?
Mada zinazohusiana

Zinazohusiana

Toa Maoni Hapa:

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako