
Kukaa na njaa kunapelekea nywele kukuwa kwa haraka
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na kitengo cha utafiti cha wanasayansi nchini Brazil EurekAlert, kukaa na njaa kunapelekea nywele kurefuka kwa haraka. Kitengo hicho katika...
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na kitengo cha utafiti cha wanasayansi nchini Brazil EurekAlert, kukaa na njaa kunapelekea nywele kurefuka kwa haraka. Kitengo hicho katika...
Kadri miaka inavyozidi kwenda mbele, neno teknolojia linazidi kutawala ulimwengu hii imeonekana wazi kabisa. Kuna sekta chache sana katika ulimwengu wa sasa ambazo bado hazijatawaliwa...
Wanasayansi wamepiga hatua kubwa katika matibabu ya binadamu kwa kupata kipimo cha damu kinachogundua aina tofauti za Saratani. Timu ya Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha...
Kenya imetengeneza setilaiti yake ya kwanza kabisa ambayo imepangiwa kurushwa anga za juu Machi mwaka huu. Wahandisi kutoka chuo kikuu cha Nairobi, wakisaidiwa na maafisa...
Mwanamke mmoja nchini India amedai kuwa mumewe na nduguye wa kambo wamekamatwa baada ya kuambiwa maafisa wa polisi walimuibia figo moja ili kujilipia mahari. Vyombo...
Kila siku Tunasema asante kwa teknolojia kwa sababu ya vitu vizuri ambavyo tunakutana navyo vikikufikia na kurahisisha mambo mengi kwa sababu tu wataalam wamekaa na...
January 18, 2018 Mkurugenzi wa J.P.M hospitali Dr. Ameir Binzoo ameongelea ujio wa Madaktari bingwa kutoka India ambao watakuja Tanzania tarehe 20 na 21 ya...
Teknolojia mpya inayotengenezwa na mwanateknolojia na mfanyabiashara maarufu Elon Musk inategemewa kuweza usafiri kutoka mji mmoja kwenda mwingine kwa kutumia roketi kwa dakika chache tu....
Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Utah nchini Marekani wamevumbua teknolojia mpya ya Robot ambayo itatumika kufanya upasuaji ifikapo mwaka 2019 ambapo inategemewa kufanya upasuaji kwa...
Utafiti wa hivi karibuni uliowachunguza wanafunzi 1000 Korea Kusini umebaini kuwa asilimia 72 ya watoto wanapata simu wakifikia umri wa miaka 11 au 12. Aidha...
Wanasayansi wanaendelea kuonesha kuwa Teknolojia inakuwa kwa kasi, kutoka Uingereza siku za hivi karibuni wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Edinburgh, wameeleza kuwa yai la binadamu (mwanamke) linakuzwa katika...
Wanasayansi nchini China wamefanya utafiti na kugundua kuwa unywaji wa chai ya moto mara kwa mara unaweza kusababisha saratani ya koo. Wanasayansi nchini China wamefanya...
Wataalamu wa afya duniani na tafiti mbalimbali zimeeleza aina mbalimbali za vyakula ambavyo huwa na madhara na jinsi gani vinaweza kuepukwa na mtu kuepuka kupata...
Wanaume wanaokuwa na upara kichwani mbali na wale wenye nywele za rangi ya kijivu wako katika hatari kubwa ya kupatikana na magonjwa ya moyo miongoni...
Utafiti mpya unasema mvinyo mwekundu ambao awali ulihusishwa na faida mbali mbali za kiafya, kuanzia kusaidia kupunguza kihatari za kupata magonjwa ya moyo na na...
Katika kudhibiti vitendo vya uhalifu, kampuni ya Maendeleo ya Viwanja vya Ndege (Kadco) kwa kushirikiana na Kikosi cha Mbwa na Farasi cha Polisi, imeanza kukagua...
Kampuni maarufu za simu za mkononi Vodafone na Nokia zimetangaza mpango wa kuweka huduma ya mtandao wa 4G kwenye mwezi. Mpango huo unatarajiwa kukamilishwa mwaka...