
Namna ya kuhamisha Apps Zisizohamishika kwenda kwenye Memori kadi
Simujanja au tablet nyingi zilizopo madukani hasa zinazotumia android OS zina sehemu ya kuweka Memori Kadi (memory card slot) kumwezesha mtumiaji kuongeza nafasi ya ziada...
Simujanja au tablet nyingi zilizopo madukani hasa zinazotumia android OS zina sehemu ya kuweka Memori Kadi (memory card slot) kumwezesha mtumiaji kuongeza nafasi ya ziada...
Je unataka kujua jinsi ya kuhamishia app kwenye memori kadi ili kuweka vitu vingine kwenye simu? Maana simu nyingi zinazotumia android OS zina sehemu ya...
Fikiria kupoteza simu janja yako. Ni jambo linaloweza kukuumiza sana. Kamwe huwezi kutaka hilo litokee. Kupoteza simu katika nyakati za sasa kuna maanisha utapoteza vitu...
Tutakuonyesha njia rahisi sana ya kutumia akaunti mbili au zaidi kwa wakati mmoja kwenye WhatsApp Web kwenye kompyuta yako. Je! Umewahi kujiuliza itakuwa pale utakapoweza...
Je! Umewahi kuwa katika hali ambayo kwa bahati mbaya umefuta faili kwenye kompyuta yako? Hii inaweza kutokea wakati unafuta faili kwenye recycle bin kwenye Windows...
Je, unajiuliza ni kiasi gani cha taarifa za eneo ulilopo Android imeripoti? Naam, angalia jinsi Google inavyojua kuhusu wapi ulipokuwa kwa kubofya kiungo hiki. Ni...
Njia rahisi ya kuondoa virusi kutoka kwenye kifaa cha nje (external device) ni kuformat memory card au USB flash drive kwa kutumia SDformatter. SDformatter ni...
Kuondoa ujumbe wa “This copy of windows is not genuine” kwenye Microsoft windows ni rahisi sana. Ikiwa ume-install pirated Windows OS, itafanya kazi kwa miezi...
Jana katika pitapita zangu mtaani nilikutana na wadau ambao walikuwa wanabishana kuhusu swali hili: Je PIN ya tarakimu 6 ni salama zaidi kuliko PIN ya...
Leo Mediahuru inakufundisha jinsi ya kuboresha (ku update) simu ya Android au mfumo wa uendeshaji wa tablet. Wakati simu yako ya Android inaweza kujisasisha yenyewe...
Unataka kujua jinsi ya kufuta akaunti yako ya Facebook? Katika mwongozo huu, tutakufundisha njia ya kufuta Facebook moja kwa moja, na kuelezea tofauti kati ya...
Hakuna mtu anataka kuharibu heshima aliyoijengwa kwa miaka mingi. Ni bahati mbaya sana kwa sekunde chache heshima yako inaweza kupotea. Kama vile sifa ya mtu...
Watu mara nyingi wananiuliza ni kwa nini simu zangu za Android zinaonekana kuwa na kasi sana na zinafanya kazi vizuri zaidi, nafanya wanajiuliza ikiwa kuna...
WhatsApp Status ilianzishwa rasmi mwaka 2017. Ni njia ambayo mtandao wa WhatsApp uliitumia kushindana na Snapchat, kwa baadhi ya watumiaji ulikuwa uboreshaji mkubwa lakini wengine...
Jifunze jinsi ya kuflash simu za Tecno za Android. Lakini, kabla ya kuanza kujifunza jinsi ya kuflash simu za Tecno za Android ni vyema kujifunza...
Je wewe ni mtumiaji wa simu ya Samsung J5 na tayari hifadhi ya ndani (internal Storage) kwenye simu yako imejaa kiasi kwamba hakuna nafasi ya...
Hii ni orodha ya njia za mkato za keyboard katika Mozilla Firefox. Urambazaji Amri Mkato Nyuma Alt + ← Backspace Mbele Alt + → Shift...
Hapa kuna ukweli wa kuvutia kuhusu Kibodi (kutoka Kiingereza: “keyboard”), si tu keyboard maarufu ya QWERTY, bali tunaangalia na baadhi ya aina nyingine za keyboards...
Ikiwa unataka kutumia mpangilio wa keyboard wa Dvorak na unatumia Windows, unaweza kufuata hatua zilizopo hapa chini. Kidokezo: Hata kama unatumia kibodi ya QWERTY, bado...
Idadi ya simu za tecno zilizopo sokoni inaweza kutumiwa vibaya na watu wanaotaka kupata faida kubwa kwa kuuza simu bandia. Lakini usiwe na wasiwasi, kwa...