
Mwaka 2016, Twitter imesimamisha akaunti 377,000 kwa kuwa na maudhui ya ugaidi
Twitter imethibitisha kuwa imefungia zaidi ya accounts 377,000 ndani ya miezi sita ya mwisho wa mwaka 2016 kwa sababu ya kukuza ama kutangaza ugaidi. Taarifa...
Twitter imethibitisha kuwa imefungia zaidi ya accounts 377,000 ndani ya miezi sita ya mwisho wa mwaka 2016 kwa sababu ya kukuza ama kutangaza ugaidi. Taarifa...
Nashusha video kutoka kwenye Facebook na kuzihifadhi kwenye Kompyuta yangu bila ya kutumia programu yoyote ile. Ki ukweli, video zinakuwa na ubora uleule baada ya kuzishusha...
Facebook update za maandishi tu hazitapotea tena kutokana na ongezeko la “flashy Facebook feed”, asante kwa mabadiliko ambayo facebook wameyafanya hivi karibuni. Mbali na kuletwa...
Ukweli ni kuwa, kuna wakati ambao tunahitaji kufuta picha kwenye Instagram pengine kwa sababu tunahisi picha haionekani vizuri tena. Hata hivyo, kufuta picha pia ina...
Mwanzilishi wa Facebook na CEO Mark Zuckerberg amepata shahada ya heshima kutoka katika chuo kikuu cha Havard, Marekani. Mark ambaye ni miongoni mwa matajiri wakubwa...
Umewahi kudownload “movie subtitle” kwenye tovuti maarufu za subtitle? Inaonekana walaghai (hackers) wamegundua njia ya kulenga watu kama wewe. Kwa mujibu wa Checkpoint, hatari hii...
NowPlaying T.I Dead and gone kwa sababu hicho ndicho kilichotokea kwa Extratorrent, mtandao wa pili kwa ukubwa duniani unaoruhusu watu kudownload bila malipo. Watu wakitembelea...
Kwa kundi kubwa la watu, Google imefanikiwa kutufanya tuweaddicted na huduma zake nyingi ikiwa ni pamoja na Gmail, Photos, Calendar na huduma zingine za Google....
Iwe ni kauli za chuki, propanganda au uanaharakati, serikali za ulimwengu zimeongeza jitihada za kubana maudhui yanayofikiriwa kuwa ni kinyume cha sheria katika mitandao ya...
Mahakama moja nchini Uswizi imempiga faini mwanamume mmoja aliyebofya alama ya kupenda au “like” kwa Kiingereza katika maoni yaliyotolewa kwenye ujumbe ulioandikwa katika Facebook.Ujumbe huo...
Opera Mini ni browser maarufu sana hasa kwa vijana hapa Tanzania. Watumiaji wengi wa simu za kisasa hasa wale wanaopenda kutumia intaneti wanasema Opera ni...
Neno la Rais wa Marekani, Trump limegubika mtandao wa internet leo Jumatano nalo ni: “covfefe”. Ni neno lililochapishwa kwenye wa mtandao twitter na rais wa...
Linapokuja suala la udanganyifu, mamlaka za shule siku zote zina hakikisha kuwa wanakuwa na nguvu kubwa kuzuia vitendo vichafu wakati wa mitihani – mfano kuangalia...
Kampuni moja ya kiteknolojia kutoka Korea Kaskazini—Myohhang— wamezindua “Tablet” mpya ambayo imepewa jina la iPad ambayo ni chapa maarufu ya kampuni ya Apple na kufanya...
Unroll.me ni huduma ya bure mtandaoni ambayo inakuwezesha kujitoa kwa urahisi katika barua pepe na ujumbe mwingine kwenye Gmail. Hata hivyo, unatakiwa kutoa ruhusu kamili...
Whatsapp ni programu ya kutuma ujumbe inayokuweka karibu kwa kuwasiliana na marafiki na familia. Inafanya kazi kwa haraka, inafanya kazi karibu katika kila simu (ikiwa...
Muda unaotumika wakati wa kufunguka kwa blog yako “Blog loading time” ni kitu cha muhimu ambacho kila blogger anapaswa kukizingatia kwa sababu inaweza kuchangia ukapoteza...
Ni ukweli usiofichika kuwa, katika dunia ya leo, zaidi ya nusu ya vijana wa Kitanzania wanaotumia Internet, basi hutumia Facebook. Tumeona matukio kadhaa ya watu...
Ni muda wa kucheza muziki kidogo: Baada ya miezi kadhaa ya majaribio ya kipengele hiki, Facebook kwa hekima yao sasa wameruhusu kila mtu kujibu maoni...
LinkedIn wametoa list ya makampuni ambayo watu wengi wanatamani kufanya kazi. Orodha ilitengenezwa kutokana na idadi ya mwingiliano uliofanywa kati ya watumiaji wa LinkedIn na...