Top 10 ya Movies Zilizopakuliwa Zaidi Kupitia Torrent Wiki Hii


filamu zetu

TorrentFreak imetoa orodha yake ya movies zilizopakuliwa zaidi kupitia BitTorrent wiki iliyopita.

TorrentFreak inatumia makadirio yake ya mara ngapi movie ilipakuliwa kuandaa chati yake ya wiki.

Maze Runner: The Death Cure (2018) ipo nafasi ya kwanza wiki hii.

“Takwimu kwajili ya chati yetu ya kila wiki ni kwajili ya kupeana habari na elimu tu,”

Movies Zilizopakuliwa Zaidi Kupitia Torrent Wiki Hii
Nafasi Movie
1 Maze Runner: The Death Cure
2 Den of Thieves
3 12 Strong
4 The Commuter
5 The Greatest Showman
6 Hostiles
7 The Post
8 Black Panther
9 Star Wars: The Last Jedi
10 Wildling

0 Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ZINAZOHUSIANA