Sambaza:

Kila wiki Mediahuru inatoa orodha yake ya filamu (movies) zilizopakuliwa zaidi kupitia Torrent .

pakua kwenye torrent

Mediahuru tunatumia makadirio yetu ya mara ngapi movie ilipakuliwa kwenye torrent mbalimbali maarufu duniani kwajili ya kutengeneza chati yetu ya kila wiki.

Wiki hii, kuna maingizo matatu mapya kwenye chati.

“Takwimu kwajili ya chati yetu ya kila wiki ni kwajili ya kupeana habari na elimu tu,” – Mediahuru

Movies Zilizopakuliwa Zaidi Kwenye Torrent Wiki Hii

Rank Movie
1 Cars 3
2 War for the Planet of the Apes
3 Annabelle Creation
4 Spider-Man: Homecoming
5 Atomic Blonde
6 American Made
7 The Dark Tower
8 Jungle
9 Baby Driver
10 Overdrive

Sambaza:
SOMA NA HII:  Orodha ya njia za mkato za keyboard katika Mozilla Firefox

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako