Sambaza:

TorrentFreak imetoa orodha yake ya sinema “movies” zilizopakuliwa zaidi kupitia BitTorrent wiki iliyopita.

TorrentFreak inatumia makadirio yake ya mara ngapi movie ilipakuliwa kwajili ya chati yake ya wiki.

Wiki hii, kuna wageni wawili kwenye chati.

“Data kwajili ya chati yetu ya kupakua (download) ya kila wiki ni kwajili ya kumbukumbu na elimu tu,” walisema TorrentFreak.

Top 10 ya movies kali wiki hii zilizopakuliwa (download) kupitia Torrent

Sambaza:

Written by Mediahuru

Tunaandika kuhusu sayansi na teknolojia kwa kutumia lugha ya Kiswahili.

Leave a Comment

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako