Intaneti

Top 10 ya Movies Zilizopakuliwa Zaidi Kupitia Torrent Wiki Hii

Kila wiki Mediahuru inatoa orodha yake ya filamu (movies) zilizopakuliwa zaidi kupitia Torrent .

Movies Zilizopakuliwa

Mediahuru tunatumia makadirio yetu ya mara ngapi movie ilipakuliwa kwenye torrent mbalimbali maarufu duniani kwajili ya kutengeneza chati yetu ya kila wiki.

Wiki hii, kuna maingizo mawili mapya kwenye chati.

β€œTakwimu kwajili ya chati yetu ya kila wiki ni kwajili ya kupeana habari na elimu tu,” – Mediahuru

Movies Zilizopakuliwa Zaidi Kwenye Torrent Wiki Hii

Namba Movie
1 War for the Planet of the Apes
2 The Dark Tower
3 Spider-Man: Homecoming
4 American Made
5 Baby Driver
6 Annabelle Creation
7 Wonder Woman
8 Pirates of the Caribbean: Dead Men Tell No Tales
9 Transformers: The Last Knight
10 Despicable Me 3
SOMA NA HII:  Microsoft Inaongeza Kipengele cha Kudhibiti Habari za Uongo Kwenye Bing
Mada zinazohusiana

Zinazohusiana

Toa Maoni Hapa:

Kumbuka Ni Muhimu Kuandika Jina Lako